LIGI LA NG'OMBE

Ligi la ng'ombe laendelea leo katika uwanja wa shule ya chang'ombe Dodoma!! Leo ilikuwa ni Kati ya GWANTANAMO fc na STAND fc mpaka naondoka uwanjan Stand walikuwa wakiongoza kwa gol mbil kwa bila (stand 2-0 gwantanamo) uwanja ulifurika kwakuwa timu zote zilijiandaa vizur na zinapendwa kulikuwa na upinzan wa hali ya juu had kuwa na sto faham za hapa na pale kama Kawaida ulinzi uliimarishwa na Polece force hii ni nusu fainali ya kwanza kwanza!!

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.