MUONEKANO WA KIJANA YASINI MHINDI

Huu ndo muonekano wa kijana Yasini Mhindi kutoka dodoma anapenda kuwa msafi mda wote hana majivuno na anashirikiana na kila mtu awe mkubwa au mdogo anatoa msaada pale inapo wezekana najivunia kuwa ndo RAIS wa wale walio SINGLE kiukwel anapendeza sana

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.