MFANO BABA AKO MJESHI
Baba ako mwanajeshi linatokea swala la kutaka wewe kujiunga na jeshi
Je? Baba ako anatakiwa kukusaidia katika mchakato wa kukuwezesha kufanikisha ama unakaza buti mwenyewe mpaka mwisho
Jiulize Baba ako nani alimsimamia mpaka akawa mwanajeshi maana Baba yake hakuwa mwanajeshi ukipata jibu kaa nalo
By Mhindi classic boy.com
No comments