PESA NDO CHANZO
Mfano umenda kwa kina rafiki yako umemkuta kakaa na Baba ake ulipo ingia ww Mzee akainuka na kuingia chumban na kuwaacha mkiongea mara rafiki yako pia akaenda jikon kutafuta chochote kitu ile umekaa peke yako unatafakati juu ya maisha magumu uliyo nayo unaona kabati iliyoko pemben kama droo yake imefunguka na kuna pesa kibao zinaonekana je? Utafanyaje kama ndo wewe
By Mhindi classic boy.com
No comments