WAGANGA WA JADI NA UWONGO WAO

Hivi hawa waganga kwa nn wanapenda kuwadanganya watu kuwa wanatibu magonjwa yasiyo na tiba kama vile Ukimwi kuwang'arisha nyota na mengine mengi

Utasikia mganga anakwambia uje akupe pete ya bahati je? Ingekuwa bahati wanatoa wao hapa dunian nahisi wote tungekuwa na imani za kishirikina kwa upande wangu huwa nawachukia sana

Je? Tufanyaje tuepukane na haya mambo potofu ya Waganga wa kienyeji toa maoni yako hapo ili tujue

By Mhindi classic bo¥.com

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.