MNAYAONGELEAJE MANENO YALIYO KWENYE MAGARI

Hapa Tanzania isha kuwa kama fashion kuandika ujumbe kwenye magari mfano Kufa hufi ila chamoto utakiona

Mengine huwa na maana na mengine huwa ya kutoa ujumbe mengine kukandia je? Wewe unayachukuliaje haya maneno

Kuwa makini na maneno hayo usije ukaingia mkenge kwan waweza kuta gar imeandikwa si ruksa kuingia ndan na viatu ukajikuta unavua ndo uingie

Haya lete maneno yako juu ya hili kama unayapenda au huyapendi kazi ni kwako

By Mhindi classic bo¥.com

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.