AJILI BARABARANI
Ajali zimekuwa nyingi sana hivyo naiyomba serikal iweke sheria ya waendesha baiskel
Nao wavae Element kwa ajili ya kuzuiya maumivu ya kichwa
Mfano mzuri yupo kijana anae tembea na baiskel akiwa na Element yake safi kabisa
Sheria hii ikipitishwa itakuwa safi sana kwan itapunguza wimbi kubwa la vifo na vya ajali
By Yasini Mhindi classic boy.com
No comments