Malengo 17 ya Dunia
Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Dunian
lengo la pili
Lengo La Pili: Kuondo njaa. Kuwa na Usalama wa Chakula. Kuboresha hali
ya Lishe na kukuza Kilimo Endelevu Kidunia Wastani wa Watoto wenye lishe
Duni imepungua kwa takribani nusu yake toka mwaka 1990; kutoka asilimia
12.9 kwa mwaka 2014-2016. Hata hivyo kati ya watu 9, mtu mmoja duniani
kote, sawa na watu milioni 795 bado ana lishe Duni.
Sehemu kubwa
duniani ya watu wasiokuwa na chakula wanaishi katika nchi zinazoendelea,
ambako asilimia 12.9 ya watu wake wanalishe Duni. Bara la
Asia ndilo lenye idadi kubwa ya watu wenye njaa, Ikiwa ni theluthi
mbili za idadi ya watu wenye njaa Duniani. Idadi ya watu wenye njaa
Kusini mwa Asia imekuwa ikipungua katikati miaka ya karibuni lakini
Mangharibi mwa Asia idadi imeongezeka kidogo. Nchi za Kusini mwa jangwa
la Sahara, Barani Afrika lenye kiwango kikubwa cha kutapakaa (wastani wa
idadi ya watu) kwa njaa. Hapa katikati kila watu wanne mtu mmoja
analishe Duni. Lishe duni inasababisha karibu nusu (Sawa na asilimia 45)
ya Vifo vya Watoto chini ya miaka mitano, sawa na watoto milioni 3.1
Kila Mwaka.
Mtoto mmoja kati ya watoto wanne duniani anakabiliwa na tatizo la Udumavu. Katika nchi zinazoendelea idadi yake imeongezeka na kuwa, Kati ya watoto watatu mmoja ana Udumavu Takribani Watoto Milioni 66 wa shule za msingi huhunduria madarasa wakiwa na njaa, na Afrika pekee ina watoto wa aina hiyo milioni 23. Kilimo ndicho kinacho toa sehemu kubwa ya ajira Duniani, asilimia 40 ya watu duniani hutegemea kilimo kwa maisha yao. Na hii ndiyo sekta kubwa inayoajiri kaya Masikini Vijijini Kuna Mashamba madogo milioni 500 duniani kote, mengi yakitegemea kilimo cha mvua, yakitoa asilimia 80 ya chakula kinachotumika duniani hasa katika nchi zinazoendelea. Kuwekeza kwa wakulima wadogo ndio njia bora ya kuhakikisha kuwapo kwa usalama wa chakula kwa mahitaji ya ndani na soko la Dunia

No comments