Malengo 17 ya Dunia


Malengo 17 ya Maendeleo Endelevu


LENGO LA KWANZA NI KUONDOA UMASIKINI
Lengo la kwanza:
 Kufuta umasikini wenye Sura zote kila Mahali
Idadi ya watu wanaoishi katika umasikini uliokithiri duniani imepungua takribani nusu kutoka watu Watu Bilioni 1.9 kwa mwaka 1990. Hata hivyo watu milioni 836 bado wanaishi katika umasikini ulio kithiri. Katika watu watano kwenye nchi zinizoendelea mtu mmoja anaishi chini ya Dola 1.25 kwa Siku. Mataifa ya Asia Kusini na Kusini mwa Jangwa la Sahara ndiko hasa wanakoishi watu wengi walio kumbwa na umasikini uliokithiri. Maeneo ambayo yana kiwango cha kutisha cha umasikini ni yale yenye Migogoro. Mtoto mmoja kati ya wanne Duniani hukumbwa na Udumavu au Uteme huwa na Urefu usiostahiki kwa Umri wake:


No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.