Wachina Noma Sana
Unaambiwa Wachina wameamua kuonyesha
maajabu mengine kwa kufanya begi kuwa
baiskeli tena ikiwa na uwezo wa kubeba mtu
mmoja na ikiwa ni baiskeli yenye ufanyaji kazi
kama wa pikipiki.
Sanduku hili ambalo lina matairi mawili lina
uwezo wa kwenda umbali wa Kilomita
zisizopungua 60 kwa kasi ya Kilomita 20 kwa
saa na linatumia nishati ya umeme ambayo
ni betri.
Baiskeli hii imezinduliwa na mkulima aitwae
He Liang ambae ametumia miaka 10
kulitengeneza sanduku hili ambalo lina nafasi
ya kutosha ya kuweka nguo ambapo likiwa
tupu unaambiwa lina uzito wa Kilo 7.
No comments