Mambo 5 ambayo huyajui kuhusu George Tyson kutoka kwa @VanessaMdee,@JokateM,@hem na @AyTanzania

Jana usiku habari zilizoshtua watu wengi ni
kuhusu kifo cha director mashuhuri George
Tyson. Hivi sasa kuna taarifa ambazo
hazijawahi kutolewa na hawa wahusika
kuhusu marehemu Tyson.

Zipo tano hadi sasa na zinatoka kwa watu
mashuhuri kwenye kiwanda cha burudani.

Jokate Mwegelo amesema kuhusu kazi nzuri
aliyokuwa anafanya George Tyson kama
director wa The One show ambayo inaruka
kupitia TV1

Venessa Mdee hajawai kusema sababu ya
kuacha kufanya The One show ambayo
alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema
sababu hiyo akimhusisha George Tyson kama
mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake.

Hemed PHD na yeye anasema kwamba
George Tyson ndiye mtu ambaye aligundua
kipaji chake cha kuigiza wakati akiwa kwenye
Tusker Project Fame.

Kazi kubwa ya George Tyson ilikuwa ni ku-
direct vipindi vya TV kama unavyoona hapo
chini na juu ambapo AY anamzungumzia
baada ya kufanya show ya Boys Boys. Pia

Mboni Masimba anamtaja kama director wa
show yake.

No comments

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.